MASHINDANO YA MPIRA WA MIGUU NDANI YA UDOM
YALIYOJIRI KATIKA MASHINDANO YA MPIRA WA MIGUU CHSS-UDOM
PSPA Waibuka mabingwa kwa kuwacharaza AMD 2-0
Kwa upande wa shangwe AMD wamepagawishaaaaaaaaa!!!
Na Ngallo Kasamallo .
Mashindano ya mpira wa miguu yaliyoshirikisha Idara mbalimbali za skuli ya HUMANITIA & SAYANSI YA JAMII yamemalizika jana May 9 katika viwanja vya humanities, ambapo wanafunzi wa Idara ya Political Science & Public Administration (PSPA) waliibuka washindi dhidi ya wanafunzi wa idara ya Arts, Media &Design (AMD) mabao 2-0.
Licha ya kufungwa wanafunzi wa AMD walionekana kuteka nyoyo za watu katika upande wa kimbembe (burudani).
Hebu jioneee mwenyewe kwenye video hizi................. !!!!~
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni